Service charter

You have the option to read through or Listen to our Service Charter Below
SERVICE CHARTER
EXPLORE OUR SERVICES

DON'T HAVE TIME TO READ? LISTEN TO THE AUDIO IN ENGLISH OR SWAHILI

Motto

“Technology For Self Advancement”

Vision

To be the centre of excellence in Science, Innovation and Technology.

Mission

To produce skilled human capital suitable for the dynamic global economy

Do you have difficulties in Hearing? Utilize the sign Language Interpretation Below.

Have sight problems? Click on toggle bottom left to set contrast. 

MKATABA WA UTENDAKAZI

HUDUMA ZINAZOPATIKANA MAHITAJI ADA ZINAZOTOZWA MUDA
HUDUMA ZOTE
• Utoaji habari
• Usajili katika lango kuu
• Simu kwa/kutembelea mhazili
Bure
Haraka iwezekanavyo
• Majibu ya hati ya barua
• Anwani
Bure
Chini ya siku tatu
MASOMO
• Usajili wa wanafunzi wapya
• Ujazaji kamili wa fomu za usajili.
Bure
Siku Moja
• Wanafunzi kutembezwa na kufahamishwa yaliyomo kwenye Taasisi
• Wanafunzi wapya
Bure
Majuma mawili
• Usajili wa wanafunzi wanaoendelea
• Malipo ya ada tajwa ya karo.
Bure
Siku moja
• Mafunzo
• Usajili kamili wa wanafunzi.
• Uwepo wa wanafunzi
Bure
Hutegemea ratiba ya masomo.
• Arifa ya kuchukua vyeti vya kuhitimu masomo
• Risiti ya cheti cha hitimisho cha kitaifa (KNEC)
Bure
Majuma mawili
• Ufadhili wa utafiti nyanjani
• Mahitaji ya kosi • Utafiti nyanjani
Bure
Angalau miezi mitatu kabla ya kuanza
• Huduma za Maktaba
• Kadi maktaba
Bure
Haraka iwezekanavyo
MASLAHI YA WANAFUNZI
• Ushauri nasaha
• Hutegemea uwepo wa mteja.
Bure
Haraka iwezekanavyo
• Malazi
• Malipo kamili ya karo
Bure
Siku moja.
• Usajili wa vyama kwenye Taasisi
• Barua ya maombi.
Bure
Majuma matatu
MITIHANI
• Mijaribu
• Kadi ya mitihani
Bure
Siku Moja
• Usajili wa mitihani ya kitaifa
• Mahitaji ya bodi ya kusimamia mitihani.
• Malipo ya ada tajwa ya karo.
Bure
Siku moja.
• Upokezi wa vyeti vya kuhitimu kozi
• Masharti ya kuafikiwa
Bure
Siku Moja
UHASIBU WA FEDHA
• Kupeanwa kwa malipo amrishi.
Kulingana na mahitaji ya sheria
Bure
Chini ya mwezi mmoja
• Mauzo ya fomu za utoaji sabuni
Malipo ya idadi tajwa ya karo.
Bure
Siku moja.
• Malipo kwa watoahuduma
Kulingana na maagano
Bure
Chini ya siku 40
MSHIKAMANO NA UWAJIBIKAJI KATIKA MASUALA YA KIJAMII
• Matumizi ya uwanja wa michezo
Barua ya maombi
Bure
Hutegemea kupatikana kwake
• Matumizi ya darasa/mahabara na karakana kwa watu wasiokuwa wenyeji wa Taasisi
Barua ya maombi
Malipo tajwa
Hutegemea kupatikana kwake
NAMNA YA KUSHUGHULIKIA MALALAMISHI YA UMMA
• Kupokea na kudhibitisha malalamishi yenyewe
Kuwasilisha malalamishi
Bure
Siku mbili za kazi
• Jinsi ya kushughulikia malalamishi na suluhu yake
Suluhu ya malalamishi
Bure
Siku kumi na nne za kazi
Sisi tumejipa sharti kutoa huduma bora kwa wateja wetu

SERVICE CHARTER

SERVICES RENDERED REQUIREMENT USER CHARGES TIMELINE
GENERAL SERVICE
• Enquiries
• Registration at the gate.
• Visit/call to secretary’s desk.
Free
Immediate
• Response to written correspondence.
• Contact address
Bure
Not more than 3 days.
ACADEMICS
• Admission of new students.
• Dully filled admission form.
Free
1 Day
• Orientation & Induction of new students.
• New students.
Free
2 weeks
• Registration of continuing students
• Payment of specified fees.
Free
1 Day.
• Teaching
• Dully registered students.
• Students availability.
Free
As per academic timetable.
• Notification for collection of national certificates.
• Receipt of national certificate from KNEC.
Free
2 Weeks.
• Industrial Attachment Placement Facilitation
• Course requirement.
• Attachment.
Free
At least 3 Months before commencement.
• Library services.
• Library card.
Bure
Immediate.
STUDENTS' WELFARE
• Guidance and Counseling.
• Client’s availability.
Free
Immediate
• Accommodation.
• Payment of specified fees
Free
1 Day.
• Registration of Clubs & Societies.
• Application letter
Free
3 Weeks.
EXAMINATIONS
• Internal Exam
• Exam card
Free
1 day
• Registration of external examinations.
• Examination body requirements.
• Payment of specified fees
Free
1 Day
• Issuance of Academic Transcripts.
Meet certification requirements. Clearance
Free
1 Day
FINANCE
• Remittance of statutory deductions.
As per legal requirements
Free
Within 1 month
• Sale of tender documents.
Payment of specified fees.
Free
1 Day
• Payments of service providers.
As per agreement
Free
Within 40 Days
CORPORATE SOCIAL RESPONSIBILITY
• Use of playing fields
Request letter
Free
Upon availability
• Use of classrooms/lab/workshop by outsiders
Application letter.
Specified charges
Upon availability
HANDLING OF PUBLIC COMPLAINTS
• Acknowledgement of complaints
File complaints
Free
2 working days
• Response to complaint and feedback
Resolution of complaint
Free
14 working days
WE ARE COMMITTED TO PROVIDING QUALITY SERVICE TO OUR CUSTOMERS

Thank you for going through our services, we welcome you to seek whichever is appropriate for you